-

.

.

TRAMEPRO

TRAMEPRO

NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA

Thursday 24 July 2014

WIZARA YA KAZI NA AJIRA WAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI‏

pix 1 Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya wajasiriamali wa sekta isiyo rasmi ya Jumuhiya ya Afrika Mashariki; yajulikanayo kama Nguvu Kazi/Jua Kali yanayotarajiwa kufanyika Kigali Rwanda,Novemba 30 hadi Desemba 7 mwaka huu. Kulia ni  Afisa Kazi Mwandamizi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Sara Daudi.pix 2Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wajasirimali Tanzania, Joseph Rweyemamu (kulia), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano na waandishi wa habari, leo jijini Dar e s Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  yajulikanayo kama Nguvu kazi/Jua Kali yanayotarajiwa kuanza 30 hadi Desemba 7 mwaka huu. Kushoto ni  Afisa Kazi Mwandamizi wa Wizara ya Kazi na Ajira, Sara Daudi.pix 3Mratibu wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania, Boniverntura Ferdinand (katika), akiwaeleza umuhimu wa dawa asilia wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo, jijini Dar es Salaam kuhusu maonesho ya 15 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki  yajulikanayo kama Nguvu kazi/Jua Kali yanayotarajiwa kuanza Novemba 30 hadi Desemba 7 mwaka huu, kulia ni  Afisa Habari Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira, Ridhiwani Wema na kushoto ni Mweka Hazina wa Shirikisho la Vyama vya Wajasiriamali Tanzania, Jumbe Ngutto. Picha na Lorietha(Laurence-Maelezo)

0 comments:

Post a Comment

MWENYEKITI WA TRAMEPRO BWANA SIMBA ABDULRAHMAN SIMBA AKITOA SALAM ZA PONGEZI KWA MHE. DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KUWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

SEND EMAIL TO TRAMEPRO

Name

Email *

Message *