Ugonjwa wa Homa ya Manjano husababishwa na virusi ambavyo huenezwa
na mbu aina ya `Aedes` ambaye huweza kuvichukua virusi kutoka kwa wanyama aina
ya nyani au kutoka kwa mtu mwenye ugonjwa huu na kuambukiza mtu mwingine kwa
kumuuma.
Pamoja...
Sunday, 4 December 2016
TAMKO LA MHESHIMIWA UMMY A. MWALIMU (MB), WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO WAKATI WA UZINDUZI WA FOMU YA USAJILI WA DAWA ZA TIBA ASILI, KUNDI LA PILI
Kama
mnavyofahamu, Serikali inatambua umuhimu wa Tiba Asili ambayo ni tiba kongwe
zaidi nchini, imekuwepo toka enzi na enzi. Pia, watanzania zaidi ya asilimia
sitini (60%) wanatumia huduma hii ya Tiba Asili. Hivyo, ni muhimu kuhakikisha
kuwa inaboreshwa na kuendelezwa ili kupanua wigo wa watumiaji,...